Brief Summary listings KISWAHILI  

Taarifa Fupi ya Mungu ya mwisho

kama ilivyo katika kitabu cha agano la ukweli

Mungu asema: Kufika Paradiso baada ya kuaga dunia, lazima uyaweke mafikirio mabaya nje moyo wako, ndio uweze kukaa na amani kwa wengine.

Hii utafanya kwa kuimarisha akili kwa mwanga unaotoka kwako wakati unapofikiria juu ya nyota ya asubuhi, ambayo ni nyota ya Bethelehem, na kusema sala ifuatayo mara tatu kwa siku. Ile ambayo yasema hivi:

Yesu - naiona nyota yako iking’aa
Yesu - uwe nami
Yesu tafadhali nisaidie na uniokoe

ama

Mumba wa mbingu - mama wa upendo
naona nyota yako iking’aa juu
tafadhali nitakase akili yangu na upendo wako wote
ndio niweze kusikia wito wako wa amani kutoka juu

Mungu anayaosha mafikirio mabaya, woga na chuki kwa nafsi yako, mafikirio ambayo inazidi nguvu kwako wakati wote unapotukana yeyote ama kufanya mabaya kwa wengine.

Utakuwa mbaya zaidi na kuweza kuumiza kwa wakati mwingine kabla hujakuwa huru kutoka kwa giza hili limo ndani yako, na fikira zako zitakua mbaya zaidi wakati mwingine.

Fikira ambazo zitajaribu utukane wengine au kuumiza ama wewe. Chochote kibaya unachosema ama umefanyia watu wengine ama kuendelea kufanya wengine, utafanyiwa na wengine.

Nasema hivi, kama mtu mwengine atakutukana na mdomo, ama akupige ngumi usimpige. Ni waoga na wanyonge wataopigana, na wale ambao hawajasikia neno langu la kutolipiza.

Amri ya Mungu pekee kwako ni: “Kupendana zote”

Lazima sasa uonyashe heshima kwa kila mmoja, hasa wale wabaya, hata kama wanataka kukuua, kwa sababu chochote kitakacho tendeka mikononi ya wengine ni kuhadhibiwa (payback) jinsi uliyowafanyia wengine hapo awali, pengine wakati huu ama wakati mwingine.

Wote lazima kumfuata Yesu kwa kutolipiza unapofumaniwa na janga lolote. Wengi hivi karibuni watakufa huku wakitukanwa.

Yeyote atakayemfuata Yesu kama “Kondoo” yule ambaye hatapigana ataenda Paradiso ambapo panaitwa Mbinguni.

Mwili wako utabaki duniani, ni roho yako ambayo itapaa juu mahali pa raha milele na milele. Yeyote ambaye ataendelea kuwatusi wengine sababu mafikiria yao ina nguvu na kwa njia mbaya na kuendelea kupigana, watakapokufa, wataenda ambapo kuna baridi, giza huzuni na pakuogopesha, panaitwa Jehenamu.

Lazima ujaribu sana usifanye uchungu kwa mtu yeyote. Zote ni ndugu na dada mbele ya macho ya Mungu. Watu wabaya watakuwa wazuri jinsi walitakaswa kutokana na hasira na hofu ukisema sala ya nyota iliyo hapo juu, basi itakuwa rahisi kuepuka mafikira mabaya akilini mwako, kama vile watu wabaya wanapokutukana, unaweza kutii Mungu kwa urahisi, na sikutusi wengine au kulipiza wengine wanakutusi.

Kuingia Paradiso, jinsi utakayo ni kutii habari hii ya Mungu kupitia kwangu, na kuonyesha Mungu kwa vitendo vyako vyema za kutii.

Lazima usahau mambo mabaya yale uliyofanyiwa au familia na watu wengine. Wale wengine waliofanya vitendo vibaya kwa sababu mafikirio yao yalikuwa mabaya, na hawakujua jinsi yakuyaondoa mafikira hayo mabaya akilini mwao.

Mambo yote maovu utoka kwa Shetani. Zote wakati mwingine tunaruhusa fikira mbaya mioyoni mwetu, kwa hivyo zote hutenda maovu kwa wakati mwingine.

Tusameheane kwa yale tuliyoyatenda kwa kutokujua. Zote sasa lazima tujaribu sana kuwa wazuri na kuheshimiana kila mmoja.

Wasaidie wale wabaya pia kwa kuwaelezea hili ombi, ndio fikira zao ziwe nzuri na kuacha kutenda mambo mabaya.

Wasaidie wale walio na shida. Kula nao ukiwapasha habari hii, hata wale wabaya ambao wanakutusi, ndio Mungu aone kwamba wewe umtiifu na kusamehe.

Ukiambiwa na mtu yeyote kwenda kumwua mtu mwingine, lazima uwambie “Hapana, ndio sasa unamtii Mungu sio binadamu.” Ukiendelea kupiga ama kuadhibu wengine kwa vile wanavyofanya, basi wewe usiposikia vile Mungu anavyosema, basi wewe utakufa kiroho.

Kwa hivyo tafadhali sasa jijenge na ujitakase akili zako kwa kusema ile ombo/sala ya nyota na kuisoma kila siku. Kwa njia hii pekee ndipo utaweza kuona mbele na kufikiria ya sasa sio yaliopita.

Maana ukiendelea kufikiria yaliopita, basi Shetani yuataka kufanya jambo kuhusu hilo jambo kwa njia kulipiza, basi utaweza kutii Shetani na utakufa.

Usibebe Silaha yeyote, Mungu kuanzia leo.

Web URL

http://www.dar-es-salaam.org
http://www.the-testament-of-truth.com
or
http://www.vision.net.au/truth/truth.html

 


Go to Top of Page